Tangaza Nasi

Tazama hapa video mpya ya DIAMOND PLATNUMZ ft OMARION - African Beauty

Msanii wa muziki wa Bongo, Diamond Platnumz ameachia video ya ngoma mpya iitwayo ‘African Beauty’ aliyomshirikisha Omarion. Video hiyo imeongozwa na Justin Campos. Itazamw hapa.

               

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.