Tangaza Nasi

Msanii Wakazi asema Diamond ni Maarufu sio Bora

Kupitia ukurasa wa twitter rapa huyo ameandika: “Kuna tofauti kati ya UMAARUFU na UBORA wa Musicians. Being popular doesn’t necessarily translates to being The Best. That being said, nakubali kuwa Diamond Platnumz is Top 3 in popularity, ila kwa Ubora (artistry) that is a reach… Kuna watu wanaupiga mwingi zaidi yake.”



Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.