Tangaza Nasi

Mataifa ya Afrika kuanza safari ya kufuzu AFCON 2019

Timu za taifa za soka barani Afrika, zinaanza kampeni ya kufuzu kucheza fainali ya mataifa bingwa barani Afrika mwaka 2019 nchini Cameroon kuanzia siku ya Ijumaa.

Hii ni michuano ya hatua ya makundi. Kila kundi lina timu nne, huku mshindi wa kundi na mshindi bora wa pili, watafuzu katika makala ya 32 ya michuano hiyo.

Ratiba kamili:
Kundi A-Ijumaa
Sudan v Madagascar- Mechi hii itachezwa katika uwanja wa At Al Obeid, mjini Obeid nchini Sudan.
Senegal v Equatorial Guinea- Mechi hii itachezwa jijini Dakar siku ya Jumamosi.

Kundi-B
Mjini Blantyre, Malawi siku ya Jumamosi,
Malawi v Comoros
Jijini Yaounde,
Cameroon v Morocco

Group C
Jumamosi, jijini Bujumbura
Burundi v Sudan Kusini
jijini Bamako,
Mali v Gabon

Kundi D
Jumapili
jijini Cotonou
Benin v Gambia ,
Mjini Blida, Algeria
Algeria v Togo

Kundi E
Ijumaa
Jijini Tunis,
Libya v Ushelisheli -Mechi hii unachezwa Tunisia kwa sababu za kiusalama nchini Libya.
Jumamosi
Mjini Uyo, Nigeria
Nigeria v Afrika Kusini

Kundi F
Jumamosi,
Jijini Freetown
Sierra Leone v Kenya
Jumapili
Mjini Kumasi, Ghana
Ghana v Ethiopia

Kundi G
Jumamosi
Jijini Kinshasa,
DRC v Congo Brazzaville,
Jumapili
Jijini Harare
Zimbabwe v Liberia

Kundi H
Jumamosi,
Mjini Bouake, Ivory Coast
Ivory Coast v Guinea
Jumapili
Jijini Bangui,
Jamhuri ya Afrika ya Kati v Rwanda

Kundi I
Jumamosi
Mjini Francistown, Botswana
Botswana v Mauritania,
Jijini Ouagadougou,
Burkina Faso v Angola

Kundi J
Jumamosi,
Jijini Niamey
Niger v Swaziland
Jumapili
Mjini Rades, Tunisia
Tunisia v Misri

Kundi K
Jumapili
Mjini Ndola, Zambia
Zambia v Msumbiji,
Jijini Bissau
Guinea-Bissau v Namibia,

Kundi L
Jumamosi
Jijini Dar es Salaam,
Tanzania v Lesotho
Jijini Praia
Cape Verde v Uganda


Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.