Tangaza Nasi

Rihanna atoa msaada katika elimu

Msanii wa muziki nchini Marekani Rihanna  ametoa msaada  wa kiasi cha Us dola milioni 20 nchi  Malawi kwa ajili ya kusaidia miundombinu  katika sekta ya Elimu.

Rihanna na kwa kushirikiana na GPforEducation, mwezi wa kwanza mwaka huu alitembelea nchi hiyo kwa lengo la kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu kupata elimu ili waweze kutimiza ndoto zao.

“My time in Malawi was so inspiring! Working with my @ClaraLionelFdn to improve the lives of students globally, alongside @GPforEducation… ”
Msanii huyo ameendelea kutumia muda wake pamoja na mali zake ili kuinua sekta ya elimu barani Afrika.Tatizo la ukosefu wa miundominu haipo Tanzanzia pekee bali hata nchi zingine kwenye bara la Afrika.Picha na video za msanii huyo zimeanza kusambaa kwa kasi siku ya jana zikumuonesha yupo Malawi.

Jiunge na BongoTune sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,  na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo Tune!

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.