BREAKING: Abdul Nondo ameachiwa kwa dhamana
Leo March 26, 2018 Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa imemuachia kwa dhamana Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania Abdul Nondo ambaye alikuwa anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Iringa.
Nondo amepewa masharti ya dhamana ni wadhamini wawili mmoja mtumishi wa Serikali wote wakazi wa Iringa na bondi ya kauli Tshs Milioni 5, atarudi Mahakamani April 10, 2018.
#BREAKING Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa imemuachia kwa dhamana Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania Abdul NondoMasharti ya dhamana aliyopewa ni wadhamini wawili mmoja mtumishi wa Serikali wote wakazi wa Iringa na bondi ya kauli Tshs Mil 5, atarudi Mahakamani April 10 pic.twitter.com/TFbvxnLBrt

Post a Comment