Waraka mzito wa Mh.Mbowe mara baaya ya kuhojiwa na polisi
Mbunge wa jimbo la Hai ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe leo Machi 22, 2018 akiwa na viongozi wengine wa chama hicho wameripoti Makao makuu ya polisi jijini Dar es salaam kwa mahojiano, ambapo baada ya kutoka Mhe. Mbowe ameandika waraka mzito juu ya mahojiano hayo yaliyopangwa kuendelea tena Machi 27 mwaka huu.
Katika waraka huo Mhe. Freeman Mbowe ameeleza kuwa kuna njama zimepangwa kuwa viongozi hao wawekwe ndani kwa muda mrefu kwa makosa ya jinai.
Soma zaidi waraka huo;



Post a Comment