Brazil yaisamabaratisha Australia bao 4-0
" Brazil wakiwa ni wageni wamewatandika wenyeji Australia bao 4-0.."
Mechi za kirafiki za kimataifa kwa
kalenda ya shirikisho la kandanda Ulimwenguni (Fifa) zimepigwa usiku wa
kuamkia leo kwa Michezo kadhaa.
Brazil wakicheza bila ya Nyota wao Neymar waliandika bao la kwanza kupitia Diego Souza na walifanikiwa kupachika Bao la Pili dakika ya 62 kupitia Thiago Silva na dakika ya 75 Taison akapachika bao la 3 na kisha Diego Souza kufunga ukurasa wa magoli kwa kuandika bao la nne dk 93 kipindi cha pili.


Post a Comment