Music: Wizkid f/ Chris Brown – African Bad Gyal
Hakuna msanii wa kumkamata Wizkid kwa sasa Afrika kutokana na level
aliyofikia. Muimbaji huyo wa Nigeria ameachia wimbo mwingine
aliomshiikisha Chris Brown ‘African Bad Gyal’, huu ni wimbo wa tatu kwa
wasanii hawa kufanya pamoja.


Post a Comment