Ronaldo kushtakiwa kwa kukwepa kodi
Mamlaka nchini Uhispania
zitamfungulia mashtaka nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo,
akishutumiwa kwa kukwepa kulipa kodi kiasi cha doa za kimarekani milioni
16.5.
Mwezi Desemba, nyaraka zilizovuja zilieleza kuwa Cristiano Ronaldo amekwepa kodi kutokana na kipato chake kuwekwa kuwekwa kwenye akaunti za nje ya hispania
Ronaldo amekana shutuma hizo. Na msemaji wa wakala wa mchezaji huyo alisema mwezi uliopita kuwa mchezaji huyo hakuwa na chochote cha kuficha


Post a Comment