Tangaza Nasi

Ukitaka kuwa kama Vera Sidika fanya hivi – Eric Omondi

Mchekeshaji kutoka Kenya, Eric Omondi ameonyesha picha zake akiwa amevaa nguo za kike ambapo amewaonyesha watu wanaotamani kuwa kama Vera Sidika.


Omondi amepost picha mbili katika mtandao wa Instagram na kuandika, “I assure you!!! This is going to be your best how to be #HowToBeVeraSidika @queenveebosset.”


“Am not sure you are ready for this!!! #HowToBeVeraSidika Your best how to be yet!!!
Please no DMs#NoStopping,” ameandika katika picha nyingine hiyo hapo juu.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.