Tangaza Nasi

Padri anayehuburi Injili kwa ku-rap (+video)



Father Paul Ogalo maarufu kama ‘Sweet Paul’ kutokea Kenya ameingia kwenye Headlines baada ya kutumia style ya kuimba kwa kurap ilikuwavutia waumini kwenda kanisani yeye amesema ameona muziki kuwa njia nzuri sio tu kuwavutia vijana bali pia kueneza Injili.
Paul Ogal ambaye anatumikia kanisa la Kikatoliki amekuwa akionekana akichana wakati anapomaliza kuendesha misa amefanya mahojiano na media mbalimbali nchini Kenya na kudai kuwa anaandaa albamu yake mpya na ana matumaini ya kufanya kazi na wasanii wa Kenya na Tanzania akiwemo Bahati, Wyre na Nameless.
                                                       




Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.