Simba Sc Waongeza Nguvu Kuivaa ASEC Jumapili Benin
KIUNGO wa Simba 
SC, Jonas Gerlard Mkude akifanya mazoezi Gym kujiandaa na mchezo ujao wa
 Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, ASEC Mimosas Jumapili 
Uwanja wa De l'Amitié Jijini nchini Benin.
Mshambuliaji
 wa Simba SC, Kibu Dennis Prosper akifanya mazoezi Gym kujiandaa na 
mchezo ujao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, ASEC Mimosas
 mwishoni mwa wiki nchini Benin.
 
Wachezaji
 wa Simba wakifanya mazoezi Gym kujiandaa na mchezo ujao wa Kombe la 
Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, ASEC Mimosas mwishoni mwa wiki 
nchini Benin.
Simba inaongoza Kundi D kwa pointi zake saba, ikifuatiwa na  
ASEC
 Mimosas yenye pointi sita sawa na RSB Berkane ya Morocco, wakati USGN 
ya Niger inashika mkia kwa pointi zake nne baada ya mechi za awali 
kuelekea mbili za mwisho.
 
 
 
 
 
 
Post a Comment