Tangaza Nasi

Tazama Muonekano wa Daraja la Tanzanite

 

Muonekano wa daraja la Tanzanite (daraja jipya la Selander) lenye urefu wa kilomita 1.03 na barabara unganishi zenye urefu wa kilomita.

Daraja la Tanzanite linaunganisha barabara za Barack Obama, Toure pamoja na Kenyatta, na ujenzi wake ulianza mwaka 2018.

Ujenzi wa daraja ulilenga kupunguza msongamno wa magari yanayotoka katikati ya jiji la Dar es Salaam pamoja na kuwa sehemu ya kuvutia utalii hasa ule wa fukwe.

 

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.