Tangaza Nasi

Watoto Hubakwa, Kulawitiwa au Kuliwa na Fisi Nyakati za Usiku

Imeripotiwa kuwa, Watoto 10 wenye umri wa kati ya miaka 6-12 wakazi wa Kata ya Mhongolo, Ngogwa na Wendele wamebakwa na kulawitiwa na wengine wakiliwa na fisi kwa kipindi cha miezi mitatu iliyopita

Mkaguzi wa Jeshi la Polisi na Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Tiho Masatu amesema hayo yalitokea walipoagizwa dukani nyakati za usiku huku akisema Polisi ikishirikiana na Idara ya Wanyamapori wataendelea msako wa kuwatafuta wanyama hao

 

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.