CECAFA yawalaumu wanachama wake kushindwa kusimamia soka
Shirikisho la vyama vya soka Afrika
Mashariki na kati (CECAFA) limezilalamikia nchi nne wanachama kwa
kushindwa kusimamia kufanyika kwa mashindano ya Chalenji na Kombe la
Kagame kwa miaka miwili mpaka sasa.
Amedai kuwa mtafaruku wote huu umezuka baada ya Uchaguzi wa CECAFA wa 2015 ambapo Rais wa Chama cha Soka cha Sudan, Muatasim Gafe, alipochaguliwa kuwa Mkuu wa CECAFA.
Amedai kuwa zipo siasa nyingi miongoni mwa wanachama ambao ni 12 na kusababisha baadhi ya wanachama kushindwa kufuzu fainali za kombe la mataifa ya Afrika(AFCON).
Post a Comment