Tangaza Nasi

EWURA watoa bei mpya ya mafuta


Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta nchini.

Katika bei hiyo mpya inaonyesha petroli imeongezeka bei huku mafuta ya taa yakishuka. Nayo mafuta ya diseal yameongezeka kwa shilingi 43tsh/= kwa lita, na kwa upande wa mafuta ya petroli yameongezeka kiasi cha shilingi 25tsh/= kwa lita moja.

Hata hivyo Mkoa wa Tanga wataendelea kutumia bei za mwezi uliopita kutokana na kuwa karibu na bandari inayotumika kushushia miundombinu ya kuhifadhia mafuta na kiasi kinachopelekea kuwa na akiba kubwa ya mafuta.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.