Uchumi wa Afrika Kusini wayumba mara ya pili kwa mwongo mmoja
Uchumi wa Afrika Kusini umeyumba zaidi kwa mara ya
kwanza kwa kipindi cha miaka minane. Upinzani unamtaka rais Jacob Zuma
ajiuzulu ukimshtumu kuwa yeye ndio anasababisha hali hiyo.
Kati ya mwezi Januari na Machi mwaka huu, uchumi wa taifa hilo ambalo zamani lilikuwa liongoza barani Afika kwa uchumi, uchumi wake umeshuka kwa asilimia 0.7.
Thamani ya sarafu ya Euro nayo imeshuka kwa asilimia 1.
Upinzani nchini humo wameendelea kushutumu uongozi wa rais Jacob Zuma ambaye wanamtuhumu ni mfisadi kuchangia pakibwa katika hali hii, madai ambayo hata hivyo rais Zuma ameyakanusha.
Zuma anaendelea kukabiliwa na tuhuma za rushwa na ufisadi, huku nchi yake ikiendelea kukumbwa na maandamano ya hapa na pale.
Post a Comment