Kampeni za Uchaguzi Mkuu nchini Rwanda zaanza
"....Mkutano wa uzinduzi wa kampeni za rais wa Rwanda Paul Kagame..."..........................................................................................................................................................................................................
Kampeni za Uchaguzi Mkuu chini Rwanda zimeanza siku ya Ijumaa.
Wagombea hawa wanatarajiwa kutumia siku 19 kuzunguka nchi nzima wakifanya mikutano ya hadhara na kuomba kuchaguliwa na wananchi wa Rwanda katika uchaguzi ambao hata hivyo rais Kagame anapewa nafasi ya kushinda kirahisi.
"..Mgombea urais binafsi Philippe Mpayimana akiwa katika kampeni ya kukutana na wananchi katika wilaya ya Bugesera..".......................................................................................................................................................................................................
Rwanda bado inaendelea kupona majeraha ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994, yaliyosababisha zaidi ya vifo vya Wanyarwanda 800,000.

Post a Comment